Core Focus Area 4

Huduma Muhimu na Utunzaji wa Mazingira

Tanzania Recovery Community (TRC) - Core Thematic Programme

Essential Services and Environmental Action Programme

Kupanua wigo wa upatikanaji wa maji safi na salama, usalama wa chakula, na miundombinu muhimu ya kijamii huku tukiendeleza uhimilivu dhidi ya mabadiliko ya tabianchi.


Malengo Makuu ya Programu

  • Kuongeza upatikanaji wa maji na mazingira safi ya kuishi.
  • Kukuza kilimo endelevu na uhifadhi wa mazingira vijijini na mijini.
  • Kujenga uwezo wa jamii kukabiliana na majanga ya kimazingira.

Shughuli na Utekelezaji

Kampeni za upandaji miti, elimu ya usafi wa mazingira, na usimamizi wa rasilimali za maji.

Ungependa Kushirikiana Nasi?

TRC inakaribisha wadau, wafadhili, na wanajamii kushiriki katika kufanikisha malengo ya programu hii huko Arusha na Tanzania kwa ujumla.

Wasiliana Nasi