NGO Certificate No.
Core Focus Areas
Residents, leaders & caregivers reached
Registered until
Our home and base
Tunajikita katika kubadilisha maisha ya watoto na makundi maalum kupitia huduma za kijamii, elimu, na ujenzi wa fursa za kujitegemea. Lengo letu ni kujamii inayojiamini na inayostawi.
Tanzania Recovery Community (TRC) inajikita katika kubadilisha maisha kupitia nyanja hizi tano za msingi huko Arusha na Tanzania kwa ujumla.
Kuondoa unyanyapaa na kutoa elimu kwa jamii kuhusu tawahudi na kusaidia familia zao.
Soma ZaidiMafunzo ya ufundi stadi, stadi za maisha na ujasiriamali kwa vijana na wanawake.
Soma ZaidiKuboresha upatikanaji wa elimu jumuishi na kuimarisha huduma za afya ya msingi.
Soma ZaidiKupanua wigo wa maji safi, usalama wa chakula na uhimilivu dhidi ya mabadiliko ya tabianchi.
Soma ZaidiUanzishwaji wa VICOBA, ulinzi wa makundi maalum na utetezi wa haki za kijamii.
Soma ZaidiMsaada wako una maana. Kila mchango unabadilisha maisha ya jamii yetu.
The Youth and Women Economic Empowerment Programme seeks to strengthen the econo...
The Education and Skills Development Programme focuses on improving access to qu...
The Inclusive Health and Social Wellbeing Programme aims to improve access to qu...
Tunatarajia kuwa na charity katika kituo cha watoto yatima NKOARANGA kilichopo ARUMERU,ARUSHA.Tunaomba chochote kwaajili...
SOMA ZAIDI