Tanzania Recovery Community (TRC) - Core Thematic Programme
Kuboresha upatikanaji wa elimu jumuishi ya msingi na sekondari, pamoja na kuimarisha huduma za afya ya uzazi, mama na mtoto katika jamii zenye mahitaji maalum.
Utoaji wa mwongozo wa elimu jumuishi, semina za afya, na ufuatiliaji wa maendeleo ya watoto shuleni.
TRC inakaribisha wadau, wafadhili, na wanajamii kushiriki katika kufanikisha malengo ya programu hii huko Arusha na Tanzania kwa ujumla.
Wasiliana Nasi