Tanzania Recovery Community (TRC) - Core Thematic Programme
Programu hii inalenga kuondoa dhana potofu za kitamaduni na unyanyapaa wa kijamii unaowakabili watu wanaoishi na tawahudi (Autism) na familia zao jijini Arusha na Tanzania kwa ujumla.
Mikutano ya hadhara, semina kwa walimu na walezi, na kampeni za vyombo vya habari za kupinga ubaguzi.
TRC inakaribisha wadau, wafadhili, na wanajamii kushiriki katika kufanikisha malengo ya programu hii huko Arusha na Tanzania kwa ujumla.
Wasiliana Nasi