Tanzania Recovery Community (TRC) - Core Thematic Programme
Kuanzisha na kusimamia vikundi vya kijamii vya kuweka na kukopa (VICOBA), kutoa maeneo salama kwa watoto na wazee, na kutetea haki za ardhi na usawa wa kijinsia.
Uanzishwaji wa VICOBA, mikutano ya wazi ya utetezi wa haki, na uendeshaji wa vituo vya salama vya jamii.
TRC inakaribisha wadau, wafadhili, na wanajamii kushiriki katika kufanikisha malengo ya programu hii huko Arusha na Tanzania kwa ujumla.
Wasiliana Nasi